Makundi yanayoongoza kudunga wanafunzi

0 comments

Kwa takribani miaka yote makundi yanayotajwa kuwadunga wanafunzi mimba ni pamoja na Bodaboda, Walimu na Maaskari.

Mwaka huu 2016 mwezi march Walimu watano wa Shule ya Sekondari Mihama, Kata ya Kitangili, Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza, walisimamishwa kazi, wakishikiliwa na polisi kwa tuhuma za kufanya mapenzi na wanafunzi.

Ngono huathiri ndoto za wanafunzi wengi ambao licha ya kuwaharibu kisaikolojia wengine huishia kuwa malaya ama kutoa mimba na wengine hata kuacha shule kwa sababu za kipumbavu za walimu ambao basi hata wakumbuke kondomo lol, wanakera sana.

madereva bodaboda nao sasa haijulikani wanawalazimisha ama wanatumia ngono kama nauli ya kusafirisha wanafunzi, huu ni ulofa na upumbavu kabisa.

mbaya zaidi madereva bodaboda eti wanatembea na wake za watu daaa ....
Utafiti unaendela..........................

Je Tanzania ya JPM ina amani? Tunapanda ama tunashuka?

0 comments

Je Tanzania ya JPM ina amani? 

Kwa mujibu wa Global Peace Index, yapo mambo makubwa ambayo yanazingatiwa katika

utafiti wao ulioiweka Tanzania kwenye nafasi ya kwanza kwa mataifa yenye mani Afrika kwa miaka kadhaa iliyopita ingawa mwaka 2014 iliporomoka hadi nafasi ya 6.

Vigezo walivyotumia ni kiwango cha ulinzi na usalama katika jamii, idadi ya migogoro ya kimataifa na ya ndani na shahada ya kijeshi .

Global Peace Index inaruhusu sisi kuelewa nini jamii yenye amani hufanya mpaka kuwa na amani iliyonayo na tunahitaji kufanya nini ili kupunguza vurugu katika siku zijazo. Nchi hizo kumi na nafasi zake ni kama ifuatavyo hapo mwezi january 2016 INGAWA kuna utofauti wa ripoti hizi mwaka hadi mwaka kwani kwa mwaka 2014 Tanzania iliporomoka na kuwa nafasi ya 6. Kwa mwaka 2016 Ripoti ilieleza kuwa nafasi kiamani Afrika ni kama ifutavyo:
1. Tanzania 2. Lesotho 3. Sierra Leone 4. Nambia 5. Ghana 6. Malawi 7. Senegal 8. Namibia 9. Botswana 10. Mauritius

Ingawa kwa mataifa yenye amani Duniani Tanzania haimo hata kwenye Top 20

ipo hivi

  1. 1.DENMARK
  2. NORWAY
  3. SINGAPORE
  4. SLOVENIA
  5. SWEDEN
  6. ICELAND
  7. BELGIUM
  8. CZECH REPUBLIC
  9. SWITZELAND
  10. JAPAN
  11. IRELAND
  12. FINLAND
  13. NEW ZEALAND
  14. CANADA
  15. AUSTRIA
  16. BHHUTAN
  17. AUSTRALIA
  18. PORTUGAL
  19. QUATAR
  20. MAURITIUS

Maisha Baada ya Kustaafu yanafananaje? Think Think think.....

0 comments


Kusini mwa Tanzania Songea...Watu wametuhumu eti wanahabari wanawakodi wanafunzi ili wakae kwenye madarsa yasiyotumika. Hii je nayo unadhani wamekodiwa? Hapa ni Songea shule ipo umbali wa kilomita 75 kutoka mjini.

0 comments


Temeke Shule ya Msingi iliyopo Tunduru Ruvuma.

0 comments


Baadhi ya Magazeti 14.08.2015

0 comments


























Ya Leo Magazeti siku 72 kabla ya kura

0 comments