Sports? or jokes?


kwa wale ambao tunapenda kujivinjari katika maeneo tulivu ili kupata moja moto moja baridi huwa wakayi mwingine tunavutiwa na majina ya maeneo tunayokaa na kutia stori mbili tatu.

Jana katika pitapita yake mpigapicha wetu alitia nanga katika maeneo fulani ya jiji na kuamua kupata maji ya moto ili apooze kiu yake baada ya mizunguko ya siku nzima na ndipo akakutana na maeneo ya watu wazito ambapo hutulia tuliiiii....kabla ya kununua kuagiza chochote alizingatia jina la pahala pale na kubaki kapumbaa...akaamua kuchukua kamera yake na kufanya umbeya.

jina la PUB hiyo mmmmmmmmmmmm!!! utata ukingali huo


Big names sales but


No caption no comments

0 comments:

Post a Comment