Kutoka Bungeni June 28, 2011










“Nchi yetu inaporwa na Serikali yetu inafanikisha kuporwa huko” Ezekiel Wenje

Justification”
Wala rushwa wakibainika wachukuliwa hatua gani? Walioua mashirika ya umma wamechukuliwa hatua gani? Au hawafahamiki? Kama hawafahamiki basi utafiti ufanywe, wakibainika wafilisiwe. Waziri mkuu aliyejiudhuru amenukuliwa amwambia Waziri mkuu wa sasa kuwa “Maamuzi magumu yanatakiwa kuchukuliwa ili nchi ikombolewe.

“wanunuzi wa mazao kutoka kwa wakulima ambao pia ni wafanyabiashara wakubwa wamo bungeni…wanunuzi hao hununua mazao kwa bei ya kutupa na kasha kuuza India kwa bei kubwa, lakini baada ya kuuza India , India huuza Marekani na kujitangaza kuwa wao ndio ma exporter wa mazao hayo yakiwemo ufuta na Korosho….Mauzo ya mazao  kutoka Tanzania katika soko la Marekani ni dola milioni mia moja tu, wakati majirani zetu wakenya wameuza zaidi ya dola miliono mia 2 kila mwaka kutokana na usimamizi na mipangilio ya manunuzi ya mazao…..”Mama Shelukindo Mbunge

Justification
Sasa kama wabunge wanajuana kuwa miongoni mwao wamo wafanyabiashara wanaowaFISADIA wakulima ni kwanini wassitajane na wachukuliwe hatua?

Na vilevile ni kwnini serikali isipange bei za mazao na kuwawezesha watanzania kuuza katika masoko ya marekani? Kenya wamewezaje? Mipango mibovu ya serikali itateketeza nchi….ni aibu kuona hadi leo mkulima hadi anafika sokoni hajui atuza mazo yake kwa kiasi gani..aibu kubwa….wapo baadhi ya wafanyabiashara wananyenyekewa na wakulima na wakati mwingine hununua zazao kwas vitisho…..

0 comments:

Post a Comment