JE Dini Yaweza Kuwa Dawa ya Ufisadi?



Rais wa awamu ya Pili Alhaji Al Hassan Mwinyi anaona kuwa matatizo ya ufisadi yanatokana na viongozi kutokumcha Mungu

Hali ilivyo inaonekana kuwa baadhi Hawajamuelewa Rais mstaafu Mzee RUKSA, Mzee Mwinyi........UNATAKA KUWAJUWA? NGOJA UCHUNGUZI UNAENDELEA, KUNA MPANGO MKAKATI, WAPO MBIONI KUWATAJA, WAMEUNDIWA TUME NA WATACHUKULIWA HATUA....na nanana......na..SERIKALI........

Huyu katika picha chini ni Badra Masoud, muangalie anachokisema na unaweza jua kuwa inakera sana kuwa msemaji katika Kampuni ama shirika ambalo kuna Kupindishwa pindishwa kwa mambo.......

?????????????????

???????????Meneja mawasiliano wa Shirika la umeme nchini Tanzania (TANESCO) akiweka mkazo mbele ya waandishi katika operesheni...unknown ya kusapraizisha raia...ila kiukweli dada una kazi, unajua mengine unawasemea hata hayawaingii wa TIZEEDI.......

??????????????????????????????

Rais wa Awamu ya Pili, ALHAJI AL HASSAN MWINYI Akizungumza na Waamini Siku ya Jumapili, Agasti 05, 2012 sabasaba Temeke katika mashindano ya 13 ya Kuhifadhi Quran Tukufu na kubwa anawataka Watanzania kuzingatia Maadili ya dini na uwajibikaji kwa kumcha Mungu.


Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam-Alhaj Alhad Mussa Salum akizungumza na waislamu katika mashindano ya 13 ya kuhifadhi QURAN TUKUFU Na kubwa amesisitiza vijana kupewa nafasi zaidi katika maeneo yao kwakuwa wanaweza, na itawajengea maadili wanajamii.

0 comments:

Post a Comment