ELIMU YETU.....
EDUCATION BY 2015...BY UNESCO
GOALS
1. Early Childhood Care and Education
2. Universal Primary Education
3. Youth and Adult Learning Needs
4. Adult Literacy
5. Gender Parity And Equality
6. Quality of Education
RIPOTI YA SHIRIKA
LA ELIMU SAYANSI NA UTAMADUNI LA UMOJA WA MATAIFA IMEONYESHA HALI MBAYA YA
ELIMU KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA
RIPOTI HIYO
IMEONYESHA ZAIDI YA VIJANA MILIONI 56 WENYE UMRI KATI YA MIAKA 15 HADI 24
WALIOKO CHINI YA JANGWA HILO HAWAKUMALIZA ELIMU YA MSINGI WALA HAWANA UJUZI WA
KUFANYA KAZI
HALI KWA HAPA
NCHINI IMEELEZWA KUWA 1/5 YA VIJANA HAWAMALIZI ELIMU YA MSINGI NA HAWANA UJUZI
WA KUFANYA KAZI
HAYO YAMEJIRI
KATIKA UZINDUZI WA 10 WA MPANGO WA KIMATAIFA WA ELIMU KWA WOTE JIJINI DAR ES
SALAAM JANA JUMAMOSI 10.11.2012
0 comments:
Post a Comment