Nani atawakumbuka wapiga kura wa Idodomya

Nayakumbuka Maneno ya Muasisi mmoja wa Tanzania aliyesema " "while others think to go to the moon, we want to reach the villages"...napenda kuongeza kuwa Tumevifikia vijiji na kisha tukavikimbia........

Ni vigumukuchagua kati ya kujenga nyumba bora ama kuywa na mifugo mingi, wapo Baadhi wana mifigo mingi na nyumba zao zimeendelea kuwa za Tembe, Hatuwezi kuwalaumu ila inategemeana sera zetu zimetuandaa kiasi gani kuishi katika nyumba hizi, nadhani ile dhana ya ku rreach the villages inaendela hadi leo.

Tembe Ninyumba maarufu sana kanda ya kati, swali la msingi lisilo na majibu ni kuwa wakati wengine wakilalama kutokuwa na umeme na maji, na wengione wakilalamikia mishahara midogo na mazingira magumu ya kazi, wengine Tembe ndio makazi yao na kwa sasa katika wilaya kama Kongwa kuna watu wanalazimika kutumia ubuyu kujinasua na njaa.

0 comments:

Post a Comment