Je Tanzania ya JPM ina amani? Tunapanda ama tunashuka?

Je Tanzania ya JPM ina amani? 

Kwa mujibu wa Global Peace Index, yapo mambo makubwa ambayo yanazingatiwa katika

utafiti wao ulioiweka Tanzania kwenye nafasi ya kwanza kwa mataifa yenye mani Afrika kwa miaka kadhaa iliyopita ingawa mwaka 2014 iliporomoka hadi nafasi ya 6.

Vigezo walivyotumia ni kiwango cha ulinzi na usalama katika jamii, idadi ya migogoro ya kimataifa na ya ndani na shahada ya kijeshi .

Global Peace Index inaruhusu sisi kuelewa nini jamii yenye amani hufanya mpaka kuwa na amani iliyonayo na tunahitaji kufanya nini ili kupunguza vurugu katika siku zijazo. Nchi hizo kumi na nafasi zake ni kama ifuatavyo hapo mwezi january 2016 INGAWA kuna utofauti wa ripoti hizi mwaka hadi mwaka kwani kwa mwaka 2014 Tanzania iliporomoka na kuwa nafasi ya 6. Kwa mwaka 2016 Ripoti ilieleza kuwa nafasi kiamani Afrika ni kama ifutavyo:
1. Tanzania 2. Lesotho 3. Sierra Leone 4. Nambia 5. Ghana 6. Malawi 7. Senegal 8. Namibia 9. Botswana 10. Mauritius

Ingawa kwa mataifa yenye amani Duniani Tanzania haimo hata kwenye Top 20

ipo hivi

  1. 1.DENMARK
  2. NORWAY
  3. SINGAPORE
  4. SLOVENIA
  5. SWEDEN
  6. ICELAND
  7. BELGIUM
  8. CZECH REPUBLIC
  9. SWITZELAND
  10. JAPAN
  11. IRELAND
  12. FINLAND
  13. NEW ZEALAND
  14. CANADA
  15. AUSTRIA
  16. BHHUTAN
  17. AUSTRALIA
  18. PORTUGAL
  19. QUATAR
  20. MAURITIUS

0 comments:

Post a Comment