TUMAINI LILILOFIFIZWA


Sembe! chakula kisicho na lolote kiafya lakini inashangaza namna watu wanavyopenda kuila na nyama choma cjui samaki. Kama na wee ni mmoja wao, unatafuta kitambi na kupungukiwa akili..kula dona kwa afya yako!
.
Mibuyu huenda ikapotea kabisa katika maeneo ya jiji na miji mingine Tanzania kutokana na uzembe tu wa baadhi ya watu ambao wanaona ufahari kuchoma miti hiyo, huku wasimamizi wa raslimali wakipita na magari yao wakitabasamu na kusema " mmh wananchi waharibifu duuh" .....primitive loyalty i call it!






no comments KWA HUYU MVUVI!!!






The transport Kigamboni to Posta is a matter of wait, all passengers are equal. We praise that equality as everyone is supposed to wait for the ferry so as to cross the ocean. But my doughty is when many sick people die while waiting for the ferry, marine tax will be a discussion.

0 comments:

Post a Comment