Young Bloods in Politics


Mtu asiyeshiriki siasa ataishia kuongozwa na watu dhaifu...ni maneno ya Mwanafalsafa Plato.

Maneno hayo yanaweza kudhIhirika wazi kwa vijana wa kisasa hususani wanachuo na baadhi wa vijana wajanja mijini na vijijini, ambao wamekuwa mwakishiriki siasa kwa sehemu kubwa ya muda wao.

Kushiriki siasa ni jambo jema lakini ni vema kujiuliza unashiriki kivipi, kwa malengo gani, kwa manufaa ya nani na una ufahamu kiasi gani kuhusiana na siasa unazoshiriki.

Wengi  kati ya vijana wa Tanzania wameingia katika siasa wakiwa na mawazo finyu ama uelewa mchache kuhusu siasa. wengine hudiriki kusema "siasa ni mchezo mchafu". I call it a primitive loyalty. And if you ask me i will tell you that politics is for some responsible chaos, open minded, ethical and born to lead their people for the benefits of not only their people but for the benefit of the whole society.

Kuamini siasa ni mchezo mchafu ni upumbavu na ni ujinga wa hali ya juu. nani alikuambia kuwa ni mchezo mchafu?. mawazo hayo mgando ndiyo yaliyoifikisha Tanzania katika hali iliyopo sasa. Hali ambayo baadhi ya mwatu wachache wanamiliki mabilioni, n baadhi wanamiliki roho zao tu nazo zinawategemea baadhi ya watu ukiachilia mbali Mungu ndiye mmiliki wa vyote.

Wapo wanasiasa ambao waliingia katika siasa kwa uchafu na wakaondoka wavchafu na mimali kibao, huenda wizi wao uliwafanya wananchi waseme kumbe wanasiasa ni wachafu, mbona hufanikiwa mapema na kisha kuwasahau waliowachagua?

Ingekuwa amri yangu, mtu akishagundulika ni mcafu kwa namna yoyote ile katika siasa, basi anafaa apelekwe rumande.

Kwa vijana ambao wameaminika Tanzania, tunategemea kubadilika kwa siasa na kuitwa siasa ni mchezo msafi unaowaneemesha wananchi.
katika baadhi ya maeneo ukipita katika mijadala ya vijana utawasikia wakibezana na kuwabeza baadhi ya viongozi kwa kauli maarufu jijini Dar es salaam na Tanzania na Afrika maSHARIKI NA DUNIANI KWA UJUMLA KUWA fisadi FULANI HATUFAI.

Ukimuuliza kwanini anasema fulani ni fisadi akakupa sababu unaweza ukamuelewa, lakini ni mengi sana anakuwa hayafahamu kwa kinaga ubaga. ukimuuliza una mpango gani sasa wa kubadili hali hiyo, atakujibu aah mi sina mpango wa kuwa mwanasiasa. Sasa kama huna mpango we unataka nani awe na mpango.

Kama umeona tatizo, ndio muda wako wa kuonyesha umakini wako katika kupambana na tatizo na sio kuka tu na kukosoa.

Simaanishi kuwa hatupaswi kukosoa, hapana. Ninachomaanisha mimi usiwe na mdomko mrefu kulaani vitu amabvyo wewe pia ungeweza kuvifanya. Na nhuenda ukapewa nafasi ukaharibu zaidi ya vile ilitarajiwa.

You are the one to make politics clean, take part into it. Do not say it is for some one , NO.

Lakini pia kwa mwenendo wa vijana wengi waliopo katika imani ya kuwa wanasiasa ukiwachunguza tu ukwa jinsi asivyo mstaarabu, alivo mropokaji, asivyo na facts nyingfi za ndani ya nchi kisiasa, alivyo mvivu wa kusowma, walivyo si muungwana....kwa sifa alozonazo yeye huwezi kukataa kuwa kama angekuwa na nafasi angekuwa fisadi kuliko mafisadi anaowataja.

Basi vijana wa kitanzania ni vema na haki kushiriki siasa, lakini angtalizo kutoka kwangtu ni kuwa someni sana muzifahamu itikadi za vyama, za nchi, mapungufu, utekelezaji na uhalisia wa siasa za Tanzania.

Musikurupuke kuropoka kwa kile mnaCHOKISIKIA TU, FANYENI UTAFITI NA MSOME SANA ILI MUPATE ANGALAU KWA UNDANI JAMBO LINALOWAVUTIA NA KISHA JIITENI VIJANA WA KISASA WANASIASA.

0 comments:

Post a Comment