Je Ni Kweli Udugu katika ajira Umetokomezwa?

Endapo udugu umetokomezwa katika suaka zima la ajira, basi Tanzania imestaarabika kiasi cha kuwa nchi ya amani ya ukweli na uzalendo wa ukweli ukiachilia mbali maigizo ambayo huwa Wengi huigiza

TANESCO ni mfano mzuri wa "udugunaizesheni" na "Rushwanaizesheni"...

Wengi hapo wameonyesha kuilaumu TANESCO hususani aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mhandisi William Mhando, ila uchunguzi unaonyesha udugu na rushwa ni "kloniki" diziz ambayo kuisha kwake ni pagum sana

0 comments:

Post a Comment