HII NI WIKI YA UNYONYESHAJI

Wiki ya unyonyeshaji unaanza leo August Mosi na ni kwa wiki nzima.

Mwananyamala Dar es salaam Mkuu wa mkoa Said Meck Sadick Anatarajiwa kuwa Mgeni kufungua wiki hiyo

Ilaa Daa akina mama wa Kitanzania Ukiwaambia wamnyonyeshe mtoto miezi sita bila kuchanganya na kitu chochote inakuwa `Gumzo' ...Nitakuletea Gumzo hapo baadaye

Ila Kumbuka Kuwa maisha ya mtanzania banah daaa....Stay Tuned hapa badae......

0 comments:

Post a Comment