Umri wao..............????? |
Subira na Kubembeleza wateja...................????? |
Sasa wamegundua tiba mpya ya matatizo yao, ukinunua Machungwa pale Unaweza kupata ya juu mazurii chini yote "mazabe", Yaani heshima yako inaweza kuota mbawa, P ikashuka miguuni gafla, yaani pata picha ukanunua na kupeleka zawadi kwa mtu, unaweza ukakosana na wakwe umewapelekea zawadi kumbe hovyooo yaani full kuchakachuliwa
Hata hivyo Tizee ina washika dau na waongoza Hili Boat la jamuhuri ya Muungano, inakuwaje wanashindwa hata kuwa na kakiwanda ka juice? ama Mshkaji anayetengeneza majuisi lukuki amewapiga STOP? Ama hawawezi Kukompete?.....
0 comments:
Post a Comment