Siriiiii? Utata???????? Gizaa? ama Maajabu?




Je Iran Meli zake za mafuta kutumia bendera ya Tanzania  ni siri?

Je Zanzibar haijahusika katika kuruhusu Meli hizo zitumie bendera za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Je ni kiongozi gani anaweza kutoa utata huo? Je nani ameruhusu? Je ni kweli? Je Tanzania huku nani anaweza kutoa giza hilo…?

Ama Kuna makubaliano kichaka?

Mi nashindwa niandike nini ndo maana naandika maswali kwani huu ni utata ukingali

Baada ya Baadhi ya vyombo vya Habari kuripoti kuwa watengeneza sheria ama watunga Sheria wa Marekani yaani wabunge wameitaka Serikali yao Kuweka vikwazo kwa Tanzania kwakuwa ina kama husika husika hivi na Iran kutumia bendera za Tizee na inafahamika fika kuwa Iran na Marekan ikoz to ???????

RADIO IRAN IDHAA YA KISWAHILI IMESEMA HIVIII……baada ya tukio hilo

"Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Bernard Membe amekosoa wabunge wa Marekani ambao wametaka nchi yake iwekewe vikwazo kwa kufanya biashara na Iran na kusema kuwa hatua hiyo ni mchezo mchafu uliozoeleka wa Washington.

 Membe amewataka wabunge wa Marekani waliotoa pendekezo hilo wafikirie upya misimamo yao. Marekani imedai kwamba Meli za Iran zimekuwa zikitumia bendera ya Tanzania ili kukwepa vikwazo. Tanzania imekanusha madai hayo. 

Membe amekataa kuelezea ni hatua gani Tanzania itachukua iwapo Marekani itaiwekea vikwazo kutokana na tuhuma hizo. Marekani kwa upande wake haijasema ni vikwazo vya aina gani inapanga kuiwekea Tanzania.

3 comments:

  1. nadhani humu nchini mambo mengi hatuyajui, kuna utata utatra kwa kila kitu ukute kuna watu waliruhusu Iran itumie bendera za Wa TZ kwa manufaa fulani...ni mtazamoo tuu

    ReplyDelete
  2. Ni Mengi yanatuchanganaya watanzania ama kuna mikataba ya watu wanakula bata na wa iran?

    ReplyDelete
  3. HAKIKA MZEE WA INTER,MTU KUTOKA NJE HAWEZI KUCHA NCHINI NA KUANZA KUTAMBA, UJUE KUNA KITU, KUNA USEMI UNASEMA UKIONA MBWA YUPO JUU YA MTI UJUE KAPANDIWSHA NA WALA HAJAPANDA MWENYEWE, NA MARA NYINGI MPANDISHAJI HAWI MBALI

    ReplyDelete