Kufungiwa, "ku ban" Magazeti Sio "Hapa Bongo Tu, bali Hata Kwa Ali Bongo Wa Gabon!

Magazeti mawili Nchini Gabon Yamefungiwa Agasti 04, 2012 , yame BE” banned (yamefungiwa)  kwa miezi sita kwa Kutoheshimu Taasisi za Jamuhuri….Huko Gabon

Machapisho hayo ni ENZOMBOLO na LA UNE na kwa Mujibu wa Chombo cha Kusimamia Vyombo vya Habari vya Nchini Humo, ENZOMBOLO LIMEM “DIS” RAIS WA NCHI HIYO ALI BONGO ONDIMBA

NA GaZeti la “LA UNE” LIMEM “DIS” Kiongozi aliyepita wa umoja wa Afrika Jean Ping kwa kumuita “a wet DISHcloth”..na kwa tafsiri sisisi ila ya uhakika ni "Nguo mbichi ya kwenye beseni"

Tukio Hili limetokea ikiwa NI SIKU CHACHE BAADA YA  Kufungiwa kwa Gazeti la uchunguzi la hapa "Tizeedi "“MWANAHALISI” hapo julai 30

Tofautui ni kwamba MWANAHALISI IS BANNED Within unspecified Time na Gabon's La Une na Enzombolo" wenyewe hayo machapisho ni Kwa Miezi Sita, Miezi sita ukiwa mfanyakazi utajua namna ya kujipanga ila kwa muda usiojulikana na kwa mfanyakazi wa chapisho…Question marks........???!!!!!!

0 comments:

Post a Comment