Matokeo ya kidato cha nne 2010 yawatoa udenda wakaka


 Akina dada wakiwa wamepumbaa baada ya konda kuwazuia kuingia daladalani, vidume wengi hukomaa na makonda na hata wakati mwingine kuchapana na makonda makonde.
(Picha na mpigapicha wetu)
 
 Mizigo kama hii kwa wadada imekwamisha elimu yao kwa miongo mingi sanasana vijijini.(Picha na Kenethy Goliama)



Story By Dennis Mwasalanga

Matokeo ya kidato cha nne 2010 ambayo yametangazwa jumatano hii yamemakinisha umahiri wa wanawake na kuwaacha midomo wazi vidume ambao hujiona viongozi daima.


Mara baada ya Dakta Joyce Ndalichako ambaye ni katibu mtendaji baraza la Mitihani Tanzania kutangaza matokeo  , nilifanya charting kwa short message services yaani (sms) na kupata opinion mbalimbali toka pande karibia zote za Tanzania.


SWALI hili liliulizwa kwa wote waliojibu, japo kwa lugha na staili tofaitu tofautii:

“Unadhani ni kwanini mwaka huu katika
 matokeo ya form four wadada wameng’ara sana kuliko
 wanaume?

Majibu:

Vumilia Mwasha (UDSM-Journalism): “cause women are bright and wamepewa fursa za kuonyesha kuwa wanawake wanaweza kuliko men”

Dennis Kibinya (IFM-Information Technology): “Madogo (wakiume) wamezidisha utozi wanaignore mambo ya msingi”

Angel G.Urassa (Tumaini University-MassComm):“ wanawake wamejitambua, ila wana mambo mengi…wanaume pia ni chanzo cha wasichana kufeli”


Odana Madai (Tumaini University Dsm-MassComm): “ Because women r 4 real n’ they r real n’ they can get really serious wen they wnt 2, ingawa men thnk they r stupid”

Getruda…(kurasini Dsm....form four graduate )
          “Wanaume wengi siku hizi wako bize na bongo fleva,
kutunga mashairi na ushalobalo, kuvaa kata k hawazingatii
masomo. Kama hujalizika niambie nikutumie majibu
mengine”

Peter Ntima (Tumaini University DSM-MassComm)
“Ni sera ya serikalikuhakikisha wanawake nchini wanapatafursa ya usawa hadi vyuoni”...


Johnson Mwaiteleke (UDSM-BBA): “ Elimu ye2 imekuwa ya kukariri na madem ni wajuzi wa kukariri mambo kibiology. ELIMU YA KOPY N PASTE WANATEGEMEA NINI?


Harrison Makaye (Tumaini University Dsm MassComm): “Boys concentrate 2 politics and sports like world cup in South Africa, compared 2 girls, boys think they are strong 2 their teachers.”

Alpha Daniel (Mzumbe University-Masters in Commercial law): “I think women activists wamesaidia kwas kiasi kikubwa kuamsha ari ya watoto wa kike kusoma, afu kingine ishu ya upendeleo kwa watoto wa kike inawabeba sana. Ishu ya upendeleo iliwekwa zaman ambapo jamii ilimfanya motto wa kike kama mfanyakazi wa shughul zote za nyumbani, ko anakosa muda wa kujisomea. Bt kwa sasa ni its not fair kuiendeleza coz nowdayz galz wanaenda shule na wanarelax the same as boyz. Ko ukiingiza ishu ya upendeleo lazma waonekane juu.

Edson Rwambogo (Tumaini University MassComm): “……….madogo wa siku hizi wamezidi upuuzi we mototo wa la saba anamtokea hata mdada wa chuo kikuu…..”…@#&%******* zao!....

Happyness Rugambwa: (Genesis global college Mtongani Form four graduate):
” Nafikiri mwaka huu ni wa Neema Mabadiliko
   yalionekana katika uchaguzi mkuu na pale spika wa
   bunge  lilipotangazwa”
 “….Wanawake miaka iliyopitawalikuwa wanaogopa  
   ogopa sana, sasa iviwamekuwa majasiri na kuonyesha
   wanaweza, hofu zimetupwa kule!”

Hamza (Mc Boko, Chaka-Kimara.....)
                   “kwasababu wadada wengi wao wamemaliza
ma…@#%&***ra”………

Neema Taji (UDSM School of law UDSM)
                   “Coz galz cheat men to make dem fall in love while zei
  stadi harder…and u no wanaume nowadays are so into
   Ladies”


Josephine Joseph (Tumaini University DSM  MassComm)
                   “DUU KWELI WANAWAKE TUPO JUU
  BWANA”
             “WASICHANA WENGI WAMEFAULU MWAKA
HUU KWA SABABU
1.                  MFUMO DUME ULIWAKANDAMIZA SANA WANAWAKE NA SASA WAMEAMUA KUJIKWAMUA
2.                  UNYANYASAJI WA KIJINSIA ULIWAFANYA WAONEKANEHAWANA HAKIZA MSINGI KAMA KUFANYA KAZI NZURI, KUMILIKI MALI, KURITHI N.K, SASA WANAWAKE WAMESEMA BASI, YATOSHA!UPO HAPO?”


Matokeo hayo licha ya kuwa na nuru kwa wadada, yanaonyesha kuwa ufaulu umeshuka Kwa asilimia 22 na wadada wakionyesha umahiri Kwa nafasi nane za juu. Zipo shahidi zinazoonyesha kuwa wanaume huwakandamiza wanawake ili waonekane wapo juu. ila kimsingi wadada waliosimama kimisimamo huimarisha familia zao. uvivu wa baadhi ya akina dada ni sababu moja ya kufeli lakini yote tisa nane na kumi jamii makini hutokana na elimu ambayo sio ya kukremu..na kufaulu mtihani sio kufaulu maisha.


Shukurani za pekee kwa wote waliotuma jumbe kwaajili ya kufanikisha makala hii. GOD BLESS YOU ALL.










4 comments:

  1. you have all my blessing to reach your destination. good work i appreciate and all the best 'pl z tray to understand the world ma family'

    ReplyDelete
  2. Matatizo ya elimu ya Tanzania ni kuwa inawaandaa wanafunzi kuwa wtumwa na sio wajasiriamali..kwahiyo matokeo yawe mazuri kwa wadada ama wakaka haitusaidii tunahitaji kubadilisha mfumo wa elimu yetu.

    ReplyDelete
  3. Wakaka kweli wamezidi usharobaroo.

    ReplyDelete