Makundi yanayoongoza kudunga wanafunzi

Kwa takribani miaka yote makundi yanayotajwa kuwadunga wanafunzi mimba ni pamoja na Bodaboda, Walimu na Maaskari.

Mwaka huu 2016 mwezi march Walimu watano wa Shule ya Sekondari Mihama, Kata ya Kitangili, Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza, walisimamishwa kazi, wakishikiliwa na polisi kwa tuhuma za kufanya mapenzi na wanafunzi.

Ngono huathiri ndoto za wanafunzi wengi ambao licha ya kuwaharibu kisaikolojia wengine huishia kuwa malaya ama kutoa mimba na wengine hata kuacha shule kwa sababu za kipumbavu za walimu ambao basi hata wakumbuke kondomo lol, wanakera sana.

madereva bodaboda nao sasa haijulikani wanawalazimisha ama wanatumia ngono kama nauli ya kusafirisha wanafunzi, huu ni ulofa na upumbavu kabisa.

mbaya zaidi madereva bodaboda eti wanatembea na wake za watu daaa ....
Utafiti unaendela..........................

0 comments:

Post a Comment