"P" ya wanahabari inaporomoka na baadhi ya watu wanaichukulia byee tu bila kujua kuwa hiyo ndiyo kila kitu, Ni nani asiyejua kuwa Kazi ya Uandishi ina Changamoto kubwa zaidi ya wengi wanavyodhani kutokana na kutelekezwa na kuonekana kama ipo kwaajili ya watu fulani.
Waandishi wa Tanzania ni kama Mafiga ambayo yanapika na kwamwe hayaonji vyakula vipikwavyo, mafiga hushirikinana kutengeneza chakula cha watu fulani lakini mwishowe mafiga huvunjika na mpishi kubadili jiko ama Kutengeneza mengine
Na kwa nadharia hiyo ndivyo waandishi wengi wanaishi hapa Tanzania
Ukitaka ufafanuzi soma hapa chini lakini pia umiza bongo yako kufuatilia mienendo ya waandishi wa hapa kwetu pia kama unaweza jaribu kuwafananisha na waandishi wa Nchi nyinginezo
Kwa kweli I pity Journalists sana sana , nawapa pole na Kuwapongeza kwa kufanya kazi ya Kitume.
More facts......
Heshima ya wanahabari inashuka kutokana na wachache ambao hawajui heshima ya wahahabari
Hapo zamani Journalism was a heaven for few, people with A Nose for NEws and Committed to serve the society were performing the Task, but today Journalism has become the Den For all kinds of folks, people with no interests in Journalism have invaded the Profession and do what they Know.
In another side, watu wengine wanawaona waandishi kama poor people in terms of ideas, and they see waandishi kama Wababaishaji
Hapo kuna Mawili, rejea Intro yangu pale juu ama pia kuna uono hafifu wa waandishi kuwa wana kazi kubwa na most challengeful wanafanya kazi katika mazingira yasiyo rafiki sana kwao
Lakini pia Waandishi wenyewe wana sehemu ya lawama inayosababishwa na wao wenyewe, usitake nikupe sababu, fikiria na unaweza kuniandikia, ......!
Wamiliki wa Vyombo vya habari kwa upande mwingine wanajitahidi kutetetea maslahi ya "Tasnia" bila kuwa na Uwezeshaji wa wanatasnia wenyewe.
Media is Business, But wanao sell products hawaheshimiki, wana jitahidi kuwaondoa ujinga watanzania lakini wachache wanathamini mchango wao.
Journalism was journalism when people were committed to, now neither journalists themselves nor Owners have invested in it.
I pity them ignorance and Can't envy Their Complacency!!! you want to know who? you just think who?
Wanahabari in short Wamezidi kuwapa "some people" cheap publicity, kwa mfano Fulani kusema Kilimo ni muhimu, can that be News?......
Tunaweza kubwabwaja sana kuhusu Tasnia ila ukweli ni kuwa "Journalists are Teachers who are not cared as Good Teachers kwa sababu ya ama wenyewe wanahabari kwa Asilimia ndogo, na pia kwa wawezeshaji wao Hawawaoni wana habari kama muhimili Muhim, Muhimili wa 4 wa Dola.
Wanahabari kazini...News Processing. |
0 comments:
Post a Comment