KUNA NINI KATIKA MCHAKATO WA VITAMBULISHO VYA TAIFA?

MADUDU MATUPU VITAMBULISHO VYA TAIFA


Waandikishaji wanalalamikiwa kukosea majina, kudai kitu kidogo pamoja na kuwakalisha wananchi katika foleni ndefu kwa muda mrefu.


Inawezekana wote wanaopanga mistari wamelazimika kukatiza kazi zao na kujiandikisha sasa je itakuwaje wale wasio na muda wa kukatishwa


Still Challenging, kwa mujibu wa Dickson Maimu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Zoezi hilo litakuwa endelevu na kila mtu atapata kitambulisho endapo ametimiza vigezo. kikiwemo cha kuwa na umri wa miaka 18 na zaidi.

0 comments:

Post a Comment