"NIMEHUJUMIWA"

Aliyekuwa mgombea wa Ubunge katika Jimbo ola Moshi mjini Faustine Sungura akifafanua namna alivyohujumiwa katika kesi ya kupinga dhamana katika mahakama kuu kanda ya Moshi Mjini. Kwa mujibu wa Sungura Jaji wa mahakama hiyo amekula njama na Mpinzani wake Mbunge wa jimbo hilo Bw. Philemon Ndesamburo

Katiba ya Tanzania inachezewa..ndivyo unaweza kusema ukimuona Sungura anapoelezea machungu yake ya jaji kurubuniwa na kupindisha kesi yake


Sungura akionesha barua aliyomuandikia Rais Kikwete pamoja na viongozi wengine ili kutaka asaidiwe kufuatilia Upindishwaji sheria katika mahakama kuu ya Tanzania - Moshi mjini





Wanahabari wakiwa mkutanoni na FAUSTIN SUNGURA Katika makao makuu ya NCCR MAGEUZI



0 comments:

Post a Comment